Listen

Description

๐ŸŽ™๏ธ Bongo Bila Borders, Episode ya 8!

Leo tunazungumzia burudani ๐ŸŒ๐ŸŽถ๐ŸŽฌโ€”tukiangalia tofauti na mfanano kati ya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ.

Kuanzia muziki wa Bongo Flava na Hip-Hop hadi matamasha kubwa na starehe za mitaani, tunauliza: nini kinatufanya tufanane na wapi tuna tofauti kubwa?

Karibu kwenye mazungumzo haya yenye ladha ya kipekee ya burudani bila mipaka!

#Bongobilaborders #bongo #swahili #swahilipodcast #burudani #entertainment #wasanii #muziki