Episodi hii inaangazia maeneo ya Malikale yanayosimamiwa na TANAPA na faida zake.
Maeneo hayo yamebeba historia za kale, biashara ya utumwa, utawala wa machifu, ukoloni na uhuru wa Taifa letu.
Sikiiiza TANAPA PODCAST Epsode 09 upate elimu ya kina kuhusu historia ya Taifa letu, asili na umuhimu wa kutunza tamaduni zetu.
Eneo: Dar es Salaam.
Host: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena.
Guest: Afisa Uhifadhi Mkuu Malikale, Neema Mbwana.