Listen

Description

Kuna Mambo Mengi Sana Yanaendelea Ndani Ya Kanisa Mengine Mazuri.. Mengine yanaumiza Watu Kwa Namna moja au nyingine. wapo watu wengi wameumizwa na kauli au tabia za watu ambao wapo ndani ya kanisa.. episode hii tunaenda kuweka msingi mzuri wa lengo au dhima kuu ya kanisa…. karibu usikilize,usambaze upendo na kwa watu wengine….