Wengi Tumewaweka sana mbele watu walio wahi kutuumiza, Tukiweka jitihada nyingi kufanikiwa ili kuwaonyesha kua walikosea sana kutuumiza,kutusaliti au kutotuamini. Mara nyingi watu waliokukosea wengine hawakumbuki, Wengine walishasahau na kuna ambao hawajali. Hivyo kujikuta tunapoteza Muda sana Kuwafanya vioo vya maisha yetu! Karibu kumsikiliza Lisaruth Boaz Ackim akishare nasi madini ya kutosha!