Listen

Description

Kuzaliwa kwake Yesu kristo kulikuwa hivi mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na yusufu kabla hawajakaribiana alionekana ana mimba kwa uweza wa roho mtakatifu. Naye yusufu aliazimia kumuacha kwa siri ili asimuaibishe

Wewe huwa unatii ndoto?? Haijalishi zina ujumbe gani