Listen

Description

Mafanikio ni matokeo ya tabia. Tabia tuliyonayo ndio itakufanya Israeli au usisitawi. Kwenye jambo lolote like. Je, umewahi kujiuliza ni nini ufanye ili kuongeza ufanisi wako? Anthony Luvanda anaelezea njia tano zitakazochangia kukuza ufanisi wako.