"Start Small think Big". Zingatia mambo madogo.
"Start Small, Think Big".
Ukifanya vizuri katika uwanda mdogo hata siku ukiwa katika uwanda mkubwa, uwezekano ni kwamba utafanya vizuri. Wakati unapofikiria kujenga mambo makubwa anza kidogokidogo.
.......................................................................
Maoni yako ni muhimu na atunayathamini sana, hivyo tuma ujumbe wako wa sauti kwa njia ya WhatsApp nasi tutaumbatanisha katika toleo lijalo au tuandikie kupitia 0753825794 au barua pepe hubofwisdomorg@gmail.com.
Tembelea www.hubofwisdom.com/media kufahamu zaidi kuhusu program zetu na kuwa sehemu ya jamii hii.