Listen

Description

'From a Rough to a Diamond'

Mis. Halima Kopwe anaelezea safari yake ya ushindi na kile anachowashauri vijana wengine wenye kiu ya kustawi katika nyanja walizopo.

EDITION 4 - THE WISE MEGA MEET-UP (Episode)

Tembelea www.hubofwisdom/media kuangalia na kusikiliza zaidi. Toa maoni yako ili jukwaa hili lizidi kuwa bora kwa ajili yako, tumia 0753825794 au tuandikie katika barua pepe hubofwisdom@gmail.com

Welcome at the home of positive vibes!
#karibu_nyumbani