Listen

Description

Karibu katika sehemu ya pili ya Msimu huu wa pili. Leo tuko na Lello Mmassy, ambaye ni mwandishi wa simulizi ya MIMI NA RAIS na nyingine. Pia ni mwanzilishi wa program tumishi (APPLICATION) ya SIMULIZI AFRICA. Karibu kujifunza kutoka kwenye historia yake katika uandishi. #Jilinde #StaySafe #Covid19