Listen

Description

Tumepiga story kuhusu mapenzi ya mitandaoni pale unapokutana na mtu na ukataka kuanzisha nae mahusiano kwahiyo tunaulizana Je kuna mapenzi ya kweli mitandaoni mf.instagram,facebook nk.