Listen

Description

Kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la  motivational speaker ( wazungumzaji wanaotoa motisha) kwa upande wako uwepo wao na maneno yao yamebadili kitu chochote katika maisha yako unaona wanamsaada wowote kukusaidia kukua zaidi au?

Ungana na Isack Isack, Timz na Lusekelo katika mada hii!