Listen

Description

Karibu kwenye episode Yetu hii mpya, Kwenye session ya pili ya The power of music beyond entertainment, kwenye session hii tumeongelea kwa undani sana nguvu ya muziki nje ya burudani, kwa kuangazia upande wa mahusiano, Hapa tumeongelea jinsi mziki umekuwa nguzo muhimu na chombo muhimu kwenye mahusiano, ya kimapenzi , kiundugu pia na kuwa kiunganishi bora chenye kuleta maelewano mazuri baina ya wahusika.

Pia tumeenda mbali zaidi na kuona mziki huu ukitumika vizuri unavyoweza kuwa dawa , hapa utasikia ni kwanamna gani mziki unaondoa stress, kutumika kuwa moja ya sehemu ya kufanya secretion of dopamine Hormone kuzalishwa na kuweza kukuondolea kabisa stress, pia utasikia kuwa mziki unatumika kama Tiba kwa maana kwamba kuna operation ma hospitalini mpaka zifanyike kuna mziki au chombo cha mziki lazima kitumike na kumfanya mgonjwa ajisikie yupo kwenye utulivu mkubwa sana , tunasema concentration process , 

kwa haya na mengi ungana nasi kwenye episode hii na session hii Ya Pili uweze kuwa mmoja ya mwanafamilia wa NMU PODCAST Karibu.

Tupate mitandaoni @nextmusicuniverse