Hey ni Novemba kwenda Decemba. Ni Msimu wa Zawadi za mwisho wa mwaka. Zawadi huonyesha mtu anakufikiria na kukupenda. Huleta hisia chanya na kuleta furaha na vicheko. Umuhimu zawadi itokeee moyoni mwako bila shuruti wala kutegemea kupokea! Mara nyingi mtoaji ndiye ananufaika kuliko mpokeaji kama maandiko yasemavyo, Matendo Ya Mitume 20:35".........Kuna baraka kubwa zaidi katika kutoa kuliko kupokea.β Usiache kupitia kwenye ukurasa wetu wa insta https://www.instagram.com/pazasauti0/ @pazasauti0 @pazasauti00 @twicebutnicestore . Tutumie meseji ya sauti π. SPONSORED BY :@BRENDYCLOSET.β‘Thank you @brendycloset