Listen

Description

Tunaweza kuwasikia wajasiriamali wadogo, wenye hari na nguvu yakusaka dolari (pesa)bila kukata tamaa pamoja na changamoto zote wanazopitia. Wametupa elimu na maarifa wanayotumia kundeleza biashara zao kwa muda sasa. Pia utasikia sababu mbalimbali zinazowapa kusonga mbele na mbele zaidi katika kusimamisha na kuimarisha biashara zao kikamilifu. Wakisisitiza vijana tuwe na Subira kwani Subira yavuta Kheri. Asante sana mwana Paza sauti. 

Hizi ni kurasa zao za Instagram, tafadhali wafollow kuwaunga mkono na kujifunza kwa wewe unayependa ujasiriamali na bado unajishauri kuanza na pia wewe ulikata tamaa yakuanza kabisa Inawezekana! https://www.instagram.com/shaynayscollection/ @shaynayscollection https://www.instagram.com/winnel_collection/ @winnel_collection https://www.instagram.com/lovee_perfume/ @lovee_perfume . Usiache kupitia kwenye ukurasa wetu wa insta https://www.instagram.com/pazasauti0/ @pazasauti0 . Tutumie meseji ya sauti hapo chini 👇👇👇