Listen

Description

Habarini wapendwa, leo nimewaletea sababu zilizoletea mimi kuingia kwenye podcast. Natumaini na wewe ,mwenzangu na mimi! Zitakusaidia kupata ari ya kuanza safari yako ya kupodcast 😚Sababu ni kama zifuatazo : 1. Kujiamini na mawazoo chanya na tofauti ya kushare. 2. Rahisi kuliko youtube 3. Ni hobby mpya kwangu 4. Kuweza kutumia muda vizuri kufanya jambo jipya 5. Kuwapa watu nafasi yakuwa wao! 6. Kuwainspire watu kuthubutu 7. Kuacha a legacy and memories 8. Kujijengea uwezo wakuandaa mada nazo zipenda 9. Rahisi kwa msikilizaji 10. Kutengeneza adhira 11. Haitaji mtaji mkubwa kuanza 12. Kutengeneza network yako na kuipa thamani 13. Kutengeneza kipato 14. Kujipa mamlaka 15. Kupromote bidhaa zako ,mwenyewe 16. Ni raha na furaha kufanya podcast. Asante kwa muda wako,hadi siku nyingine Byeeeeeee mwanafamilia❤Basi twendeni TUKAPAZE SAUTI ❤Usiache kupitia kwenye ukurasa wetu wa insta https://www.instagram.com/pazasauti0/ @pazasauti0 @pazasauti00 @twicebutnicestore . Tutumie meseji ya sauti hapo chini 👇