Habari! Tarehe 5 Oktoba,ni siku ya Walimu Duniani / International Teachers Day/ World Teachers Day au Happy Teachers Day😀. Leo mwalimu wetu anatueleza alivyosheherekea siku hii,shuleni @littletreasurestz ( https://www.instagram.com/littletreasurestz/) Yeye anaamini ualimu ni wito. Ukifanya kutoka moyoni na si kwa mazoea utaona na kuhisi Utofauti❤