Listen

Description

Kipengele cha 27 cha katiba ya kenya ya mwaka 2010 kinaliagiza bunge kupitisha mswada wa sheria unaohakikisha kwamba angalau theluthi moja ya nafasi za ajira zinakwenda kwa jinsia moja - aidha ya kike au ya kiume - na kwamba hakuna jinsia inyofaa kuchukua zaidi ya theluthi mbili ya nafasi hizo.