Listen

Description

Tatizo la wanyamapori kuingia katika mashamba ya watu katika kaunti ya Taita Taveta limekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo kwa miaka mingi.

Ili kutatua tatizo hilo, mtafiti wa kisayansi Simon Kasaine, alivumbua singe’nge inayotengenezwa kwa mabati madogo madogo na kupewa jina la KASAINE FENCES. Mhariri wa Radio Rahma Ruth Keah alizuru eneo la Maungu ambapo wakulima wamenufaika na singe’nge hiyo na kuandaa makala haya.

By Ruth Keah