Kaunti ya Mombasa ina idadi kubwa ya waraibu wa kike wa mihadharati, ambao wengi wao hujipata wamebakwa wakiwa maskani mwao.
Wengi wa waraibu hao hushindwa kutafuta haki baada ya kubakwa,hivyo kuishia kuishi na makovu ya milele.
By Athman Luchi