Huku maradhi ya matatizo ya akili yakiendelea kushuhudiwa nchini na ulimwengu kwa jumla, wanawake walio na matatizo haya wamekua wakinyanyaswa kimapenzi, hasa wanaorandaranda mitaani na barabarani kutokana na kukosa wakuwahifadhi.
By: Nuru Mwalimu.
Want to check another podcast?
Enter the RSS feed of a podcast, and see all of their public statistics.