Listen

Description

Ujio wa chanjo ya kudhibithi virusi vya corona nchini imepokelewa kwa mtazamo tofauti , huku baadhi wakisema kuwa chanjo hiyo inazuwia wanawake kupata uja uzito sambamba  na wanaume kutokuwa na uwezo wa kuzalisha.

By: Nuru Mwalimu