Sikiliza Makala hii fupi na tamu ya kumhusu Kiungo mshambuliaji aliyewahi kujitokeza na baadae kutunukiwa jina la Mpikaji mipira ya usaidizi (Assist) akiwa dimbani na wenzie, fahamu mwanzo wake, alikotokea, maisha yake ya familia nje ya soccer, upole wake pamoja na mafanikio yake yote aliyoyapata hasa akiwa katika vilabu vya Real Madrid, Arsenal na timu yake ya Taifa ya Ujerumani. IMEANDIKWA NA: Said Kawage na KUSOMWA NA: Aucland Mudu, Enjoy π€ͺπ€