Je unafikiria kuanza biashara? Ivi unajua kuna mambo hawajakwambia!! Katika episode hii ya 11 Nimezungumzia Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara
Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake instagram!!
Nifollow Instagram👇🏿
www.instagram.com/mjasiriamalidigital
Unahitaji kuniona mimi?
Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿
https://beacons.page/mjasiriamalidigital
Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts
Ikiongozwa na Amani Longishu