Listen

Description

Katika episode hii ya 15 Nimezungumzia jinsi uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii ulivyobadika kwa sasa tofauti na miaka 10 nyuma. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! 

Nifollow Instagram

www.instagram.com/mjasiriamalidigital 

Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook 

https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts 

Ikiongozwa na Amani Longishu