Listen

Description

Je hauna bajeti ya kufanya matangazo ya kulipia? Kwenye Episode hii ya 16 nimezungumzia njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads!!. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake!  Nifollow Instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts  Ikiongozwa na Amani Longishu.