Kwenye Episode hii ya 17 nimekupa njia 4 za kuingiza pesa kama una followers 50k na huna biashara au hujui cha kufanya!! Sikiliza kisha share na influencer unayependa afanikiwe mtandaoni! Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu.