Kwenye episode hii Eric Baisi kutoka Maje Digital ametoa mwanga kuhusu biashara instagram, ushauri wa wanafunzi wa chuo na je inachukua muda gani kuingiza pesa kupitia Instagram?
Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
Tembelea blog yangu
https://www.mjasiriamalidigital.com
Mjasiriamali Digital Podcast Episode 48