Listen

Description

Kipindi hiki kinagusia nafasi iliyoko kati ya wazazi wa kisasa na wana wao. Matukio mengi yametukia kwa sababu kama wazazi tumesahau majukumu yetu kama wazazi na kuegemea upande moja tu ambayo ni kutafuta riziki. Sikatai! Kutafuta riziki yao haina shida, shida inatokea tu, wakati ambapo sisi wazazi hatutengi wakati kuwakuza na kuwajua watoto wetu fika. Visa vingi vimetukia kama watoto wa umri mdogo kujitoa uhai,mimba ya umri mdogo,kutojitambua fika kwa sababu hawajui watawaelezea nani na kila wakati wazazi wanatafuta. Kipindi hiki kinaegemea kuwakumbusheni wazazi majukumu yao. #Shakilahstales.