Kipindi hiki kinaghusia maisha baada ya uchaguzi mwaka 2022 Agosti.Je,maisha yamekuwa magumu zaidi ama mambo yako sawa? Je, Serikali ambayo iko usukani imetimiza ahadi kwa wananchi ama hapana? Sikiliza ili upate bayana ya mambo usikose kuwacha mawazo yako kuhusu mada hii.