Natumai kikosi kizima mko salama. Ni dhahiri kuwa kila siku tunathirika na misukumo ya maisha na wakati mwingine inaweza tuathiri tukapotea njia ama kujishuku kuwa maisha yako hayaendi sawa. Kumbuka maisha haya kila mmoja ana kitabu chake cha kuandika hivo basi usijipime na maisha ya mwenzio kwa sababu nyie wote ni watu wawili tofauti, wanaotoka mahali tofauti kabisa. Skiza kipindi hiki kupata bayana ya mambo,usisahau kupitisha ujumbe upande ule mwingine na kusubscribe. # ni ShakilahsTales.