Listen

Description

America Swahili News wamefanya mahojiano na Atiki Matata moja kwa moja kutoka katika Jiji la London.
Mr. Atiki Matata alikuwa mmoja wa Wachezaji wa timu ya Mpira wa Kikapu ya Pazi katika Jiji la Dar-es-salaam. 
Mahojiano haya yameletwa na America Swahili News na kushirikiana na Swahili Villa Online News.