Listen

Description

Alikuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Tanzania, Godless Lema anayeishi Toronto, Canada ameongelea umuhimu wa Elimu ya Juu Tanzania na Wafanya Biashara Wadogo Wadogo wajulikanao kama Machinga.