Listen

Description

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kutimiza malengo yako basi sehemu hii ya podcast inakuhusu. Ndani ya podcast hii utajifunza kwanini formula kama ya kupambana unayopewa na ma motivational speakers haifanyi kazi na njia sahihi za kufuata kuona matokeo ya uhajika. Njia hizi zinaendana na tafiti mpya za kisaikolojia ya tabia (behavioral psychology).