Listen

Description

Kama unafanya biashara lakini kila unavyojikaza unaona biashara haizongi mbele basi sehemu hii ya podcast itakuonyesha exactly tatizo ni nini. Kuna kipimo kiitwacho VRIN Score unayotakiwa kunitumia kufahamu kama biashara yako inalipa au hailipi. Ndani ya sehemu hii utafahamu VRIN Score ya biashara yako ni ngapi na utafahamu aidha uendelee kufanya au utafute biashara nyengine.