Kama wewe ni mtu unayejikuta unafanya kazi kama punda bila ya kuona matunda basi formula ya 80/20 Rule itakusaidia kwa kiasi kikubwa. Formula hii ndio formula matajiri wakubwa wa natumia kufanya kazi ndogo kuweza kuingiza kipato kikubwa. Kuelewa hii formula pamoja na bonus chukua kalamu na karatasi na hakikisha unasikiliza Podcast hii hadi mwisho.