Listen

Description

Kama umejikuta kuwa unahangaika mno kufikia malengo yako hata ukifanya kitu gani basi sehemu hii ya podcast inakuhusu. Ndani ya Saturday Rant ya leo tunazungumzia mambo 3 Yanayokuzuia Kufikia Malengo yako. Bila ya kutatua mambo hayo matatu basi utapendelea kuhangaika kila siku.