Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na unaona biashara yako haikuwi vizuri basi kuna uwezekano mkubwa Mahesabu yako hayapo vizuri. katika sehemu hii utajifunza jinsi ya kutumia mahesabu kuchagua biashara yenye kulipa, kukuza biashara yako pamoja na kufanikisha matangazo yako.