Listen

Description

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga uaminifu kwenye soko lako basi Kuna uwezekano mkubwa hujajenga brand yenye kuaminika. Ndani ya sehemu hii nimemfanyia interview mtaalamu wa mambo ya branding Mr. Charles Nduku ku share na sisi jinsi ya kujenga brand yenye kunasa wateja.