Listen

Description

Zamani tulikuwa tunanawa mikono hata watu kumi kwenye bakuli moja kabla ya kula na hakukuwa na madhara yeyote,tulikusanyika maeneo mbalimbali kwenye Matukio ya kijamii kufurahia ama kushiriki majonzi na wenzetu misibani……hatushirikiani tena kama miaka mitano iliyopita…kuna nini kimetokea??? Hivi ulishawahi kuwaza kuhusu maisha haya miaka mitano iliyopita?? Sio rahisi..naomba nikuache na tafakari ya leo…waza kuhusu miaka mitano ijayo…hali itakuwaje..vipi kama mifumo ya maisha itaendelea kubadilishwa na kuhakikisha tunafungiwa ndani Zaidi…tafakari kuhusu miaka mitano ijayo …ni wangapi watakuwa hawapo tena na sisi kwa sababu ya hali hii inayoendelea ulimwenguni kote>>>tafakari …hatma ya maisha yako iko wapi?? Unategemea nini mpaka sasa katika maisha yako?? Shusha pumzi effects…unamjua Mungu vizuri?? Vipi kuhusu Yesu?? Umeshawahi kusikia kuhusu wokovu?? Time is running..hatuna muda tena..shtuka mapema na fanya maamuzi sahihi…jifunze haraka sana maarifa ya kiMungu kupitia siri za biblia ..mitandao yote ya kijamii