SAMIA SULUHU HASSAN amemshukia vikali Jaji Josef Sinde Warioba kufuatia Jaji Warioba kuongelea yaliYojiri Oktoba 29 na siku zilizofuata ambapo ripoti zinaeleza kuwa maelfu ya Watanzania walichinjwa kwa amri ya Samia. Kadhalika, makaburi kadhaa ya halaiki yamebainika, safari hii ikiwa ni katika baadhi ya mikoa zaidi ya yale yaliofahamika jijini Dar es Salaam
Video kamili ipo hapa https://youtu.be/OhP05RzS4Xg