Tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Kiafrika, kwa Pamoja tunaungana Kama Familia, Kama Jumuiya, Kama Wataalamu, Kama Watunga Sera na Viongozi kukuza Mtoto wa Kiafrika.
Miaka 30 Baada ya Kupitishwa kwa Hati: Kuharakisha Utekelezaji wa Ajenda 2040 Kwa ajili ya Mtoto wa Kiafrika ni kwa Kutanguliza mahitaji ya Mtoto wa Kiafrika na Kujenga Msingi Imara kwa Afrika na Ulimwenguni.
Afrika ina Vijana wengi Zaidi Na Ina Uwezo Mkubwa Wa Kuongoza Ulimwengu kuleta mabadiliko. Umoja wa Afrika unahitaji Sera tabithi ili kumnufaisha Mtoto wa Kiafrika.
Heri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiafrika!