Listen

Description

Watu ni hodari wa kupanga mipango kikubwa si ndiyo?

Watu ni hodari sana wa kupanga malengo makubwa si ndiyo?

Una Kumbuka hata siku ya mwaka mpya ulipanga malengo makubwa na kusema huu ni mwaka wako si ndiyo?

Lakini...

Watu wengi licha ya kujua kupanga, wanashindwa sehemu mbili ambazo ni;

1. Kuamua/kuthubutu.
2. Kutenda.

Hebu fikiria ukiamua kupambania mipango na malengo yako utakuwa wapi?

Haitoshi si ndiyo...

Ni lazima utende kwa maana kuchukua hatua (To take take actions) baada ya kuamua kupambania malengo yako si ndiyo?

Kwahiyo....

Leo utaenda kujua kanuni ya 3K’s ambayo itaenda kubadili hatima yako na kuwa mtu mwingine tena...

Kuanzia uthubutu wako utaongezeka kwa kiwango cha juu sana.

Kiwango cha kutenda (taking actions) utaongezeka mara kumi 10X zaidi sasa.

Kwa sababu kanuni hii inafundishwa kwa hela nyingi kwa maana ya tsh 50,000.

Ila...

Leo utaipata bure kwenye Podcast ya Maisha ni kuthubutu” ambayo ndani ya dakika 13 tu utajifunza elimu hii ambayo itaenda kuwa chachu ya kujenga hatima yako.

Ni wewe tu kuifanyia kazi baada ya muda utanipa ushuhuda wako.

Cha kufanya ni rahisi kabisa...

Ni kubofya link hapa chini sasahivi kusikiliza episode hii na upate madini ya nguvu. Usichelewe chukua hatua sasa.