Listen

Description

Hivi kuna faida yeyote unapata kwa Kujilinganisha Na kutaka kuwa kama watu wengine jinsi walivyo kwenye maisha yako?

Kwa sababu...

Kujilinganisha ndio sababu ya kupoteza furaha, kukosa amani ya moyo, kuona umechelewa na Hakuna cha maana umefanya.

Kumbuka kuwa...

Ukitaka kuishi maisha ya mtu mwingine kwenye maisha yako, Je maisha yako atayaishi nani?

Umeshapata jibu si ndiyo?

Kuna sababu nyingi za kwanini una tabia ya kulinganisha na watu wengine:

1. Wana ushawishi mkubwa katika mitandao ya kijamii,

2. Kuvaa nguo nzuri na kutumia “Luxury things”,

3. Wana mafanikio makubwa kukuzidi,

4. Wana kibali cha kukubalika zaidi kuliko wewe kwenye kitu unachofanya.

5. Maarifa na hekima kubwa kukuzidi n.k

Ni baadhi ya sababu nyingi ambazo zinafanya uwe muhanga wa Kujilinganisha Na Watu wengine.

Ndiyo maana leo...

Unaenda kujua nini ufanye ili usiwe mtu wa Kujilinganisha Na Watu kwa kujua mambo matano yenye nguvu kuliko kawaida.

Utajua kila kitu ambacho kitakuwa daraja la wewe kuishi maisha yako halisi bila ya kujifananisha wala kuchanganyikiwa na mambo ya watu wengine.

Kwahiyo...

Ni wewe Kusikiliza episode hii kwa kubofya link hapa chini sasahivi.