Hivi unajua kwamba asilimia 20% watu wanachepuka kwenye mahusiano yao, asilimia 30% wapo katika mahusiano ambayo wameyachoka tayari...
Asilimia 20% wapo kwenye mahusiano na mume au mke wa mtu, asilimia 15% wapo single lakini wanachepuka na Ex wako. Asilimia 5% wapo single na asilimia 10% tu ndiyo wanafurahia mahusiano yao.
Tatizo la kuchepuka ni tatizo kubwa sana ambalo si wanawake au wanaume kiwango cha kuchepuka kinaongezeka siku hadi siku.
Swali la kujiuliza...
Kwanini unachepuka?
Kuna sababu nyingi ambazo zinafanya watu kuchepuka ukiachana na suala la fedha, kuna sababu zifuatazo;
1. Kukosa tendo la ndoa (Sex) kwa muda mrefu
Labda mwanaume ana changamoto ya nguvu za kiume au mwanamke ana tatizo la nguvu za kike, kukosa tendo kwa muda mrefu ni sababu moja wapo mtu kuchepuka si ndiyo.
2. Ubize,
Huwezi kuwa bize kiasi kwamba unashindwa kukaa karibu na mtu anayempenda, tatizo la kuwa bize inafanya mtu kuchepuka ili apate tulizo la moyo kwa kujaliwa, kuona anapendwa, kupewa thamani n.k
3. Kati ya mmoja wapo kuchepuka,
Mahusiano mengi watu wanachepuka kama Tukio la kulipa kisasi baada ya mpenzi mmoja kibaini anasalitiwa.
4. Kokosa kujaliwa,
Hisia zina nguvu sana mtu anapokosa kwa muda mrefu kujaliwa anaona akichepuka basi atakuwa atapata kujaliwa n.k.
Ni baadhi ya sababu ambazo zinafanya mtu kuchepuka si ndiyo eeh!
Basi Kama hupendi tabia ya kuchepuka una njia moja pekee ya wewe kutoka kwenye kifungo hiki ni Kusikiliza episode ya 21 ya “Maisha Ni Kuthubutu Podcast”.
Bofya link hapa chini ujifunze kwa kina zaidi maana dakika 14 kutoka sasa utaenda kujua kwanini unachepuka na nini ufanye ili uache kuchepuka.