Listen

Description

Wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka wa 2022 wanawake wengi waliweza kudhulumiwa na wengi wao hawajaweza kupata haki yao. Wengine wamebaki wakiuguza majeraha .