Hii leo Kenya imejumuika na mataifa mengine kusherekea siku kuu ya Radio nchini. Mada kuu ikiwa uwaminifu kwa wanahabari wa stasheni za kijamii,aidha taifa linaposherekea siku hii wanahabari wanaendelea kupitia changamoto sii haba.Karibu tuzijadili pamoja na tutafute suluhisho pamoja.