Baada ya kuondolewa curfew nchini kenya, sekta mbalimbali zina nafasi ya kujenga uchumi.
Je, sekta ya uchumi Halali una mchango gani katika kujenga uchumi?
Sikiliza makala haya nae @M_Shakombo akiwa na @UmiWabomba @ba_bajaffar @kheir_sulh @HalalSafaris