Maana ya pato halali na Umuhimu wa pato halali ni upi? Ni yepi madhara ya pato haramu na kinachoweza kubatilisha halali kuwa haramu?
Skiza makala ili kujua suluhu ya kuepukana na pato Haramu.
Msimamizi Mjadala ni Muhammad Shakombo akiwa na wageni Sh. Badru Jafar, Sh. AbdiShakur Mohammed, Ummi wabomba na Muhammad Onyango.