Listen

Description

Leo ni siku ya wanyamapori duniani, siku iliyotengwa na shirika la umoja ya mataifa kufuatia kuwekwa kwa Mkataba wa Biashara ya Kimataifa ya Viumbe na Mimea iliyo katika hatari ya kutoweka, CITES, mnamo mwaka 1973. Kauli mbio ya mwaka huu ikiwa ushiriano kwa ajili ya Uhifadhi wa Wanyamapori. Mwanahabari wetu Dalila Athman alizuru hifadhi ya bahari ya Kisite Mpunguti, eneo la Shimoni, kaunti ya Kwale na kutuandalia makala haya: