Listen

Description

Haya ni makala ya uchunguzi ambayo yanaangazia njia tofauti za ushirikina ambazo wanasiasa Kenya hutumia ili kufanikisha ajenda zao za kisiasa na kuingia uongozini.

Hapa baadhi ya wakaazi wameelezea jinsi wanasiasa hao wanavyojihusisha na ushirikina kufanikiwa siasani.

Pia tumeongea na wanasiasa wa sasa na wale wa kitambo.